Baadhi ya majeruhi katika ajali ya Basi la Luhuye Express iliyotokea juzi Wilaya ya Busega mkoani Simiyu wakipelekwa chumba cha upasuaji katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando, Mwanza. Mpaka sasa watu 16 wamepoteza maisha.
(PICHA ZOTE KWA HISANI YA G SENGO BLOG)





No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake