ANGALIA LIVE NEWS

Friday, April 11, 2014

UCHUNGUZI WA AFYA WA BURE KWA WATANZANIA DMV


7 comments:

Anonymous said...

Tafadhalini wakuu na vipimo vya UKIMWI vifanyike pia na ni muhimu mnooooo...
MDAU
-PAKAJEUSI

Anonymous said...

Hahaa. Yaani watu hawaangalii afya zao ni starehe tu hadi ije bure. Tuache mambo ya kizamani. Kuna kitu hapo kweli. Si bora mkaipeleke kule Chalinze na Njombe hadi Mfaranyaki Songea na Mbambabay!!

Anonymous said...

NAFIKIRI UTAKUBALI NIKISEMA KWAMBA KILA KITU KINA MWANZO,UTAMADUNI WETU TULIENDA KWA DAKTARI TULIPOUGUA TU,SASA TUNAFUNDISHWA NAMANA TOFAUTI YA KUJIANGALIA MARA KWA MARA NA SIONI KOSA LOLOTE....KARIBIA NAWE UTUFUNDUSHE NAMNA YA KUJALI AFYA ZETU NA KUPUNGUZA STAREHE.

Anonymous said...

Jamani mie na swali wanaangalia na ugonjwa wa vichaa au wanaweza kubadilisha dawa za vichaa wakaongezewa dose ? maana mji huu wa MDV ,umejaa vichaa wanaitaji some help walah !tena vichaa wenyewe watu wazima na wengine wenye makamo kidogo jamani jitokezini ni free ni bora utibiwe mapema kuliko kuwa cheezi moja kwa moja hivyo basi ankali luka usibanie comment yangu ,chei chei .

Anonymous said...

MTOA MAONI # 4 MAOMBI YAKO TUMEYASIKIA. TAFADHALI USIKOSE KUFIKA KWA UCHUNGUZI WA AKILI YAKO.

Anonymous said...

chei chei ,senior citizen number #5 tunaitaji watu kama nyie wenye early Alzheimer disease maana mnazidi kuongezeka kila kukicha.

Anonymous said...

Watu waje afu mkawatangaze.mmeula wa chuya.dj luke usibanie dmv wamezidi midomo.