Tuesday, April 15, 2014

VIJIMAMBO RADIO SASA IPO HEWANI KWA MAJARIBIO NA KWA MIZIKI YA KILA AINA PIA INAPATIKANA TUNEIN RADIO APP



Timu yaVijimambo inapenda kuwatangazia wadau wake kwa sasa imeanzisha VIJIMMBO RADIO ambayo ipo hewani sasa hivi kwa majaribio kwa hiyo kama utapata nafasi naomba uisikilize kupitia www.vijimamboradio.com na toa maoni yako kumbuka tupo kwenye majaribio na bado tunaendelea kuboresha Radio hii na kama una maoni au ushauri unaweza toa maoni yako au tuandikie barua pepe djlukejoe@gmail.com au Vijimamboblog@gmail.com asante endelea kuburudika na VIJIMMBO RADIO

5 comments:

  1. Mzee mzima Luke joe unajitahidi .Haloooo

    ReplyDelete
  2. Hongera sana Dj
    Mdau DK

    ReplyDelete
  3. Cheers Dj Luke,pls play sikinde, msondo, bimalee, oss, marquis, vijana jazz way back 70s, 80s ili kubalance. Great msg for nxt generation. Anyway big up.

    ReplyDelete
  4. Kazi safi sana lakini don't just play Bongo fleva too much na kusahau muziki wetu wa asili ambao watu wa huku nyumbani kwa makusudi wanataka kuua kwa makusudi yao. Balance muziki wa dansi, taarab, mchiriku, na hii ya computer a.k.a. bongo fleva.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake