Monday, April 21, 2014

WATU ZAIDI YA 20 WAPOTEZA MAISHA BAADA YA BASI KUGONGA NYUMBA NA KUPINDUKA HUKO SIMIYU


Habari zilizoufikia hivi punde kutoka mkoani Simiyu ni kwamba watu zaidi ya 20 wamepoteza wamefariki dunia na wengine wengi kujeruhiwa baada ya basi la Luhuye walilokuwa wanasafiria kutoka Musoma kwenda Mwanza kugonga nyumba na kupinduka wilayani Busega mkoani Simiyu.
Inaelezwa kuwa majeruhi hawana msaada kwani ajali hiyo imetokea eneo la kijijini.
Habari Kamili kuhusu tukio hili la kusikitisha zitakijia hivi punde kupitia mtandao uu ......

Credit: malunde1 blog

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake