Friday, May 9, 2014
ANGALIA BASI LA DAR EXPRESS LAPATA AJALI ENEO LA WAMI
Ajali imetokea mida ya saa nne karibu na wami kutokea dar es salaam.. gari ni kampuni ya dar express iliyokua ikielekea nairobi.. Abiria wengi wamenusurika kutoka ila kuna majeruhi wachache
Credit:Matukio na Vijana
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake