BREAKING NEWZZZZ: GARI LA MAGAZETI YA MWANANCHI LAPATA AJALI NA KUUA MARA
"Gari la kusambaza Magazeti ya Kampuni ya Mwananchi limegonga na kuua
katika daraja la Kirumi mpakani mwa wilaya ya Rorya na Butiama Mkoani
Mara leo asubuhi.(Picha zote na mdau wetu Augustine Mgendi)
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake