video mpya ya mwanamuziki wa kiTanzania aishie
Denmark,Copenhagen. Kwa jina anaitwa Dulla Mnanga, mwanamuziki hodari na
mbunifu aliyekuwa kweneye kundi la muziki la kiTanzania Tatu nane.
Sasa hivi anafanya muziki na bendi yake Dulla Mnanga band, ni katika kuonyesha waTanzania walio
nje ya nchi wanafanya nini na pia kama chama cha waTanzania Denmark pia
kutoa ushirikiano kwa waTanzania walio ughaibuni.
Asante
No comments:
Post a Comment