Tuesday, May 6, 2014

FID Q "NILISTAHILI KUSHINDA TUZO YA KILL, KILA MTU AMEFURAHI BAADA YA KUNIBANIA KWA MUDA MREFU"



Msanii Fid Q amehabarisha kuwa kila mtu amefurahi kwa yeye kushinda Tuzo ya Mwana Hip Hop Bora wa Mwaka , Amesema hiyo inajidhihirisha hata kwenye Social Media kila mtu anasifia na kukubali ishindi wake ..Amasema Amebaniwa Miaka Mingi hiyo tuzo na Hatimae ameipata....


Swali:
  • Je huko Nyuma ni Kweli watu walikuwa wanabaniwa Tuzo ?
  • Je Utaratibu Mpya wa Kill Awards kupata washindi ni wa Uwazi zaid

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake