Tuesday, May 6, 2014

POKELLO AVISHWA PETE YA UCHUMBA JUKWAANI


3 comments:

  1. Kweli haya haya mambo siyo utamaduni wetu. Huyu dada haonekani hata kushangaa, kujali wala kuwa emotional. Ndo kwanza kasimama jicho kavu na anageuza shingo kuangalia nyuma ya pazia as if she doesn't care.

    ReplyDelete
  2. Inabidi kwa sababu wanaume wenyewe washenzi wakisha kuzoe wanabadilika ,utafikiri sio wao ,akuna kujali chochote.

    ReplyDelete
  3. Huyu mwanaume kafuata utaratibu kama inavyotakiwa, kwa hiyo si busara kumuhukumu kutokana na tabia mbaya za wanaume wenzie. Si kila mwanaume anabadilika. Nafikiri dada angempa heshima yake, na siyo kumuhukumu kutokana na utitiri wa wanaume wabadilikaji waliompitia.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake