Tuesday, May 6, 2014

MKUTANO WA WIZARA YA AFYA WAFANYIKA LEO JIJINI DAR

1 (7)Kaimu Mkurugenzi wa Huduma  za Kinga,kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dk,Neema Rusibamayila akifungua mkutano wa tatu wa   wa siku tatu wa magonjwa yasiyopewa  kipaumbele leo unaoendelea kwenye hoteli ya Bahari Beach jijini Dares Salaam.3 (7)Afisa  wa Program  wa Magonjwa  yasiyopewa  kipaumbele Kitaifa  kutoka Shirika  la  Afya la Dunia(WHO) Alphonsina  Nanai akizungumza jambo leo wakati wa ufunguzi wa mkutano wa tatu wa siku tatu  wa magonjwa hayo unaoendelea   kwenye hoteli ya Bahari Beach jijini Dares Salaam. 4 (5)Meneja Mpango  wa Taifa wa Magonjwa yasiyopewa kipaumbele,Dk, Upendo Mwingira (kushoto), Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Kinga, kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dk,Neema Rusibamayila(katikati) na kulia  ni Afisa  wa Program  wa Magonjwa  yasiyopewa  kipaumbele Kitaifa  kutoka Shirika la  Afya la Dunia(WHO) Alphonsina  Nanai wakifuatilia mkutano wa tatu wa  siku tatu  wa magonjwa hayo unaoendelea   kwenye hoteli ya Bahari Beach jijini Dares Salaam.5 (3)Baadhi wa wadau wakifuatilia mkutano wa tatu wa   wa siku tatu wa magonjwa yasiyopewa kipaumbele, Tesome  Kanno, unaoendelea  kwenye hoteli ya Bahari Beach jijini Dares Salaam.5 (3)Mmoja  wa wadau  wa  mkutano wa tatu wa   wa siku tatu wa magonjwa yasiyopewa  kipaumbele, Tesome  Kanno kutoka (ITI) akijadili jambo  leo wakati wa mkutano huo , unaoendelea  kwenye hoteli ya Bahari Beach jijini Dares Salaam.6 (7) Kaimu Mkurugenzi wa Huduma  za Kinga,kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dk,Neema Rusibamayila  (wa pili kushoto) akiwa  katika picha ya pamoja  baada ya kufungua mkutano wa tatu wa   wa siku tatu wa magonjwa yasiyopewa  kipaumbele leo unaoendelea  kwenye hoteli ya Bahari Beach jijini Dares Salaam
Picha na Magreth Kinabo – Maelezo

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake