Kaimu
Mkurugenzi wa Huduma za Kinga,kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii
Dk,Neema Rusibamayila akifungua mkutano wa tatu wa wa siku tatu wa
magonjwa yasiyopewa kipaumbele leo unaoendelea kwenye hoteli ya Bahari
Beach jijini Dares Salaam.
Afisa wa
Program wa Magonjwa yasiyopewa kipaumbele Kitaifa kutoka
Shirika la Afya la Dunia(WHO) Alphonsina Nanai akizungumza jambo leo
wakati wa ufunguzi wa mkutano wa tatu wa siku tatu wa magonjwa hayo
unaoendelea kwenye hoteli ya Bahari Beach jijini Dares Salaam.
Meneja
Mpango wa Taifa wa Magonjwa yasiyopewa kipaumbele,Dk, Upendo Mwingira
(kushoto), Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Kinga, kutoka Wizara ya Afya na
Ustawi wa Jamii Dk,Neema Rusibamayila(katikati) na kulia ni Afisa wa
Program wa Magonjwa yasiyopewa kipaumbele Kitaifa kutoka
Shirika la Afya la Dunia(WHO) Alphonsina Nanai wakifuatilia mkutano wa
tatu wa siku tatu wa magonjwa hayo unaoendelea kwenye hoteli ya
Bahari Beach jijini Dares Salaam.
Baadhi
wa wadau wakifuatilia mkutano wa tatu wa wa siku tatu wa magonjwa
yasiyopewa kipaumbele, Tesome Kanno, unaoendelea kwenye hoteli ya
Bahari Beach jijini Dares Salaam.
Mmoja
wa wadau wa mkutano wa tatu wa wa siku tatu wa magonjwa
yasiyopewa kipaumbele, Tesome Kanno kutoka (ITI) akijadili jambo leo
wakati wa mkutano huo , unaoendelea kwenye hoteli ya Bahari Beach
jijini Dares Salaam.
Kaimu
Mkurugenzi wa Huduma za Kinga,kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii
Dk,Neema Rusibamayila (wa pili kushoto) akiwa katika picha ya
pamoja baada ya kufungua mkutano wa tatu wa wa siku tatu wa magonjwa
yasiyopewa kipaumbele leo unaoendelea kwenye hoteli ya Bahari Beach
jijini Dares Salaam
Picha na Magreth Kinabo – Maelezo
No comments:
Post a Comment