Friday, May 9, 2014

RAIS KIKWETE ALIPOKUTANA NA RAIS GOODLUCK JONATHAN WA NIGERIA JIJINI ABUJA JANA

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akikaribishwa na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake Rais Goodluck Jonatahn wa Nigeria jijini Abuja jana pembeni ya Mkutano wa Dunia wa Uchumi. PICHA NA IKULU

2 comments:

  1. Je mmelizungumzia swala la kuwapata hawa girls walotekwa na Boko? Msifanye mzaha.. Do not play with that cowed boko!!

    ReplyDelete
  2. Kweli inashangaza sana ..yaani mpaka Marekani na Uingereza waseme ndiyo viongozi wa Africa walichukulie hatua hili suala la hawa mabinti na Boko???

    Kweli Africa inao "weak leaders"

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake