RAIS KIKWETE ALIPOKUTANA NA RAIS GOODLUCK JONATHAN WA NIGERIA JIJINI ABUJA JANA
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akikaribishwa na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake Rais Goodluck Jonatahn wa Nigeria jijini Abuja jana pembeni ya Mkutano wa Dunia wa Uchumi. PICHA NA IKULU
Je mmelizungumzia swala la kuwapata hawa girls walotekwa na Boko? Msifanye mzaha.. Do not play with that cowed boko!!
ReplyDeleteKweli inashangaza sana ..yaani mpaka Marekani na Uingereza waseme ndiyo viongozi wa Africa walichukulie hatua hili suala la hawa mabinti na Boko???
ReplyDeleteKweli Africa inao "weak leaders"