Friday, May 2, 2014

UKODAK MOMENT STEVE NA FAMILIA YAKE PAMOJA NA MHE.BALOZI LIBERATA MULAMULA

Steve Rweyemamu kutoka Delaware akiwa na familia yake wakipata ukodak na Mhe. Liberata Mulamula Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico siku ya sherehe ya muungano zilizo fanyika Katika viwanya vya ubalozi wa Tanzania Washington DC.

1 comment:

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake