Ndege ikikatisha katikati ya New York City kwambali unaweza kuona jengo la UN, kama umeshatua New York au kuondokea na ndege basi unaweza kujikumbusha na taswira hii.
Mandhari ya New York jioni uvutia na taa zinavyopendezesha vikwangua anga, Taswira hii unaweza kuipata ukiwa upande wa west New York.
 |
| West New York ikikuonyesha taswira ya vikwangua anga vya New york City. |
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake