Monday, May 5, 2014

VIDEO MPYA YA TID FT JULIO - CHECK ME

video ya ngoma mpya ya TID aliyomshirikisha JULIO wa bigbrother season 7,ngoma iliyotayarishwa na mkongwe wa kutengeneza video L-BASHIR Kutoka Uganda na Ngoma kutayarishwa na LAMAR kutoka Tanzania...video iliyogharimu bei kubwa na yenye mahadhi ya international bongoflavour.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake