Madaktari
wakianza kumfanyia Operesheni ya tumbo kwa ajili ya kuondoa mfuko wa
nyongo, mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya Kairuki jijini
Dar es Salaam kwa kutumia vifaa vya kisasa ambapo mgonjwa hufanyiwa
upasuaji kwa njia ya matobo.
Madaktari wakiendelea na upasuaji.
Dokta Muganyizi Kairuki akifanya upasuaji huku akiangalia kwa kutumia kamera maalum wakati wa kufanya operesheni.
Daktari
Bingwa wa Upasuaji Dk. Muganyizi Kairuki (kushoto), akimfanyia
operesheni mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya Kairuki
Mikocheni jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki, kwa kutumia aina mpya
ya upasuaji ambayo hufanyika kwa njia ya matobo na husababisha
uharibifu mdogo kwenye ngozi. Kulia ni Barbra Omondi na Grace Machiga.
(Picha na Francis Dande)Daktari Bingwa wa Upasuaji Dk. Muganyizi Kairuki (kushoto), akimfanyia operesheni mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya Kairuki Mikocheni jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki, kwa kutumia aina mpya ya upasuaji ambayo hufanyika kwa njia ya matobo na husababisha uharibifu mdogo kwenye ngozi. Kulia ni Barbra Omondi na Grace Machiga.
Daktari Bingwa wa Upasuaji Dk. Muganyizi Kairuki (kushoto), akimfanyia operesheni mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya Kairuki Mikocheni jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki, kwa kutumia aina mpya ya upasuaji ambayo hufanyika kwa njia ya matobo na husababisha uharibifu mdogo kwenye ngozi. Kulia ni Barbra Omondi na Grace Machiga.
Daktari
Bingwa wa Upasuaji Dk. Muganyizi Kairuki (kushoto), akimfanyia
operesheni mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya Kairuki
Mikocheni jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki, kwa kutumia aina mpya
ya upasuaji ambayo hufanyika kwa njia ya matobo na husababisha
uharibifu mdogo kwenye ngozi. Kulia ni Barbra Omondi na Grace Machiga.
Daktari
Bingwa wa Upasuaji Dk. Muganyizi Kairuki (kushoto), akimfanyia
operesheni mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya Kairuki
Mikocheni jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki, kwa kutumia aina mpya
ya upasuaji ambayo hufanyika kwa njia ya matobo na husababisha
uharibifu mdogo kwenye ngozi. Kulia ni Barbra Omondi na Grace Machiga.
Daktari
Bingwa wa Upasuaji Dk. Muganyizi Kairuki (kushoto), akimfanyia
operesheni mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya Kairuki
Mikocheni jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki, kwa kutumia aina mpya
ya upasuaji ambayo hufanyika kwa njia ya matobo na husababisha
uharibifu mdogo kwenye ngozi. Kulia ni Barbra Omondi na Grace Machiga.
Madaktari wakiwa kazini
Mawe yaliyotolewa baada ya upasuaji huo kufanikiwa.

No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake