Friday, June 27, 2014

BALOZI OMBENI SEFUE AFUNGUA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA WAKURUGENZI WA RASILIMALIWATU SERIKALINI


 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue ambaye pia ni mgeni rasmi akifungua mkutano mkuu wa mwaka wa Wakurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu Serikalini katika ukumbi wa St. Gasper  mjini Dodoma
 Kaimu Mkuu Mkoa wa Dodoma Bi Fatma Salum Ally (katikati) akiwakaribisha wageni waalikwa wa mkutanomkuwa mwaka wa Wakurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu Serikalini mkoani Dodoma, kabla ya mgeni rasmKatibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (kulia) kufungumkutano huo katika ukumbi wa St. Gasper  mjini Dodoma leo.Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. HAB Mkwizu .
 Katibu Mkuu Ofisi Rais, Utumishi wa Umma Bw.George D. Yambesi (katikati) akimkaribisha mgeni rasmi Balozi Ombeni Sefue (kushoto) kufungua mkutano mkuu wa mwaka wa Wakurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu Serikalini katika ukumbi wa St. Gasper  mjini Dodoma leo.Kulia ni Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma Bi.Claudia Mpangala.
 Baadhi ya washiriki wa mkutano wa mkuwa mwaka wa Wakurugenzi
wa Utawala na Rasilimaliwatu Wizarani, Idara za Serikali 
zinazojitegemea, Taasisi za Umma na Makatibu Tawala Wasaidizi Sehemu ya  Utawala na Rasilimaliwatu katika Sekretariati za Mikoa na Mameneja 
Rasilimaliwatu katika Wakala la Serikali wakimsikiliza mgeni rasmi 
Balozi Ombeni Sefue  (haypo pichani) wakati wa ufunguzi wa mkutano huo 
katika ukumbi wa St. Gasper  mjini Dodoma

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake