Mchezaji wa
Columbia Rodrguez akifunga goli bora ambalo linashindana na goli la Van
Persie,na wataalamu wa soka wanasema huenda hili likawa bora zaidi
kuliko la Van Persie.
Mshambuliaji wa Uruguay Edinson Cavani akimlalamikia mwamuzi baada ya kuwapa Columbia free kick yeye akidai kwamba sio halali.
Shabiki wa Columbia akiwa ameshika bango linalouliza "yuko wapi Suarez?"

Mashabuiki
wa Uruguay wakiwa wamebeba vinyago vya sura ya Suarez katika mechi kati
ya Uruguay na Columbia ambapo Uruguay walichabangwa mabao 2-0 huku pengo
la Suarz likionekana wazi kabisa.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake