Maisha
ni Hatua.. Nafkiri kwa mwaka huu ile ndio ilikuwa hatua yetu kwa
MTV...Cha muhimu ni kujua wapi tulipokua mwaka jana na wapi tulipo
leo... pia kujifunza na kujua ni nini cha kuongeza zaidi ili Next tym
tuzidi kufanya vyema....
Shukrani
zangu nyingi ziende kwa ashabiki wote,Management, Media,Family, wasanii
na wadau Mbalimbali kwani kwa nguvu zao ndio zimefanya leo kunisogeza
toka sehem moja kwenda nyingine...Next stop #BET!!!... Asante sana #Sheriangoi kwa Suti Hii.
wema changamka huu ndio muda wako..... manake hata kucheka hakuna wanaume huwa wanachit kila siku ila hapo weka matatizo pembeni cheka onyesha furaha kwenda mbele yaani picha zote hakuna hata kucheka
wema changamka huu ndio muda wako..... manake hata kucheka hakuna wanaume huwa wanachit kila siku ila hapo weka matatizo pembeni cheka onyesha furaha kwenda mbele yaani picha zote hakuna hata kucheka
ReplyDeleteDIAMOND AJIFUNZE KUVAA SUTI AMEKA KAMA KATUNDIKWA BWANA HAZIMPENDEZI NA WEWE NGOWI ACHA KUMSHONEA MWENZIO ZA KIDOSI DOSI
ReplyDeleteSuit too tight
ReplyDelete