Sunday, June 8, 2014

DIAMOND AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA BAADA YA TUZO ZA MTV BASE SOMA HAPA ALICHOSEMA


 

Maisha ni Hatua.. Nafkiri kwa mwaka huu ile ndio ilikuwa hatua yetu kwa MTV...Cha muhimu ni kujua wapi tulipokua mwaka jana na wapi tulipo leo... pia kujifunza na kujua ni nini cha kuongeza zaidi ili Next tym tuzidi kufanya vyema....
Shukrani zangu nyingi ziende kwa ashabiki wote,Management, Media,Family, wasanii na wadau Mbalimbali kwani kwa nguvu zao ndio zimefanya leo kunisogeza toka sehem moja kwenda nyingine...Next stop #BET!!!... Asante sana #Sheriangoi kwa Suti Hii.

3 comments:

  1. wema changamka huu ndio muda wako..... manake hata kucheka hakuna wanaume huwa wanachit kila siku ila hapo weka matatizo pembeni cheka onyesha furaha kwenda mbele yaani picha zote hakuna hata kucheka

    ReplyDelete
  2. DIAMOND AJIFUNZE KUVAA SUTI AMEKA KAMA KATUNDIKWA BWANA HAZIMPENDEZI NA WEWE NGOWI ACHA KUMSHONEA MWENZIO ZA KIDOSI DOSI

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake