Sunday, June 29, 2014

KAMA KITONGA INGEKUWA HIVI JE?

Mambo ya miundombinu hayo pata picha hii ingekuwa kule kwa Nyerere na wale madereva wetu wa veta. Na driver license zile za kutumiwa kwe sanduku la posta.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake