Friday, June 27, 2014

MAXIMO AZUNGUMZA, KUANZA KAZI JUMATATU

Kocha Marcio Maximo akiongea na wanahabari (hawapo pichani) leo katika klabu ya Yanga.
Kocha Marcio Maximo(katikati) akiwa na Kocha msadizi wake pia ni Mbrazili, Leornado Leiva Martins (kulia).
Wanahabari wakimsikiliza Kocha Mkuu wa Yanga Marcio Maximo (hayupo pichani)

Kocha wa Yanga, Marcio Maximo amesema ataanza kazi rasmi klabuni hapo Jumatatu, pia msaidizi wake Mbrazili atakuwa na kazi ya kukuza vipaji.

(PICHA NA RICHARD BUKOS/GPL)

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake