Thursday, June 26, 2014

POLISI WAKAMATA DAWA ZA KULEVYA UWANJA WA NDEGE WA KILIMANJARO






Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ,SACP,Robert Boaz akitoa dawa za kulevya katika mikoba ya kike ambayo imekamatwa katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro KIA.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ,SACP,Robert Boaz akiwaonesha waandishi wa habari(hawako pichani)moja ya mikoba iliyotumika kufichia dawa za kulevya kwa ustadi mkubwa.
Dawa za Kulevya ambazo hazijafahamika ni aina gani zikiwa katika mifuko maalumu.
Baadhi ya waandishi wa habari mkoa wa Kilimanjaro wakimsikiliza kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro wakati akitoa taarifa  juu ya kukamatwa kwa dawa za kulevya katika uwanja wa ndege wa Kilimanjaro KIA.

3 comments:

  1. kila mtu ana mbinu yake yakubeba haya madawa,kweli huyu kiboko,na hawakomi jamani kila siku wanaona watu wanakamatwa

    ReplyDelete
  2. Tunaomba picha zao pia,ilituwatambue.

    ReplyDelete
  3. kwanini wakome na maisha magumu nyumbani na ukifanya hivi ukifanikiwa una punch in life halafu cha kuchekesha mbona hawakamatwi the big fish eti kilo hizi ndo mtu anakamwatwa kwanini watoto wa wakubwa serikallini hawakamatwi wale wadada waliokamatwa south africa mbona wako mitaani leo wana dunda tuu kama sio wao.
    acheni maigizo yenu wacheni wakabebe hawa na wakikamatwa bahati mbaya tuu ajali kazini wache big fish in town watese na kuingiza makontena ya madawa ya kulevya nchini

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake