ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, June 24, 2014

TAARIFA YA KUKANUSHA

Kumeendelea kujitokeza vikundi mbalimbali vinavyojinasibisha na Mh Edward Lowassa, miongoni mwao ni kile kinachojiita Muungano wa Marafikiwa Mh Edward Lowassa Wasio na Mipaka(MELOWAMI).
Muunganno huu umetoa taarifa katika mitandao ya kijamii ukiishutumu kamati ya maadili ya CCM kuwa inamfanyia hujuma Mh Lowassa.
Kwa mara nyingine tena ofisi ya Mh Lowassa inakanusha kuhusika kwa namna yoyote ile na taarifa za kikundi hicho na vingine vitakavyotoa.

Imetolewa na ofisi na Mh Lowassa(mbunge)

4 comments:

Anonymous said...

ASANTE, UTAKANUSHA SAANA LAKINI UKWELI UKO PALEPALE, Lowasa bado hutatufaa kwa Uraisi Tanzania!!

Anonymous said...

ASANTE, UTAKANUSHA SAANA LAKINI UKWELI UKO PALEPALE, Lowasa bado hutatufaa kwa Uraisi Tanzania!!

Anonymous said...

Jiweke wewe Bac

Anonymous said...

Ha ha ha!!! Siasa Bwana!! Unafki mtupu!!!!