Diaspora tuwe chachu ya maendelea ya nchi yetu kwa kile kidogo tulichonacho kwani huko tulikotoka habari ndiyo hii. Tusimnyooshee kidole yeyote ndani ya nchi yetu wakati vidole vingine vipo mwelekeo wetu wanadiaspora. Tutangoja saaana kwa serikali yetu hili ni janga letu sote kutoa ni moyo.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake