TIMU YA WABUNGE WA BUNGE LA JMT WAPIMA NGUVU NA WAFANYAKAZI WA AKIBA COMMERCIAL BANK-DODOMA
Timu
inayoundwa na Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hii leo 07/06/2014
wameina Nguvu na Wafanyakazi wa Banki ya Akiba hapa Dodoma katika Mchezo
wa Kirafiki.Hadi Mpira Unamalizika Mechi imekwisha kwa Suruhu ya Bila
Kufungana. Picha Vijimambo Blog(Tanzania)
bora wapunguze mafuta yao ya mwilini wawe wanafanya mazoezi haya
ReplyDelete