yeah so good to see him on the street akijichanganya na wananchi lakin ana options anaweza kufanya hivi na sometimes pia anakula raha zake na wananchi wa chini hawana hii options.
raisi wetu alipaswa kwanza amuulize huyio muuza Genge kama analipa kodi, alipaswa amwambie huyo muuza genge ampe risiti ili kuonyesha kwamba anachangia kwenye Mapato ya nchi! angefanya hivyo angekuwa yupo katika mstari wakupunguza umaskini tanzania.
Acheni wivu, sote tunajua Rais wa nchi ana wapishi wake, wanunua misosi, waonja chakula, wasafisha viatu etc. Ile kununua ni lobbying tu, akitaka kula samaki wanaopatikana say japan mtu atapanda ndege na kwenda kuwaleta. Amefanya kwaajili ya hao wa kijijini sasa nyi wambea wamjini mmeshikia kidedea. Acheni amalizie muda wake. Unafikiri yule babu na pale kijijini watasahau! Mision acomplished! Lol
Kwa staili hii dah, maendeleo yatakuwa magumu kupatikana, yani Rais msanii, mawaziri wasanii. Mbona haendi kariakoo kwenye kibanda kama hicho ambapo watumishi wake na Mkurugenzi wanavamia kila siku tena usiku kubomoa vibanda vyao. Leo eti amekuwa mteja.
Sio kweli kuwa Kikwete ni mtu wa kawaida anafanya maigizo tu; angekuwa mtu wa kawaida angejali maisha na maslahi ya watu wa chini kwa kuwathibiti wala rushwa na mafisadi!! Badala ya kuwathibiti wahalifu yeye anawalinda kama alivyowafanyia wahindi wezi wa EPA!!
Hii nimeipenda kwani sioni ubaya kwa Rais kununua samaki gengeni kwani nae ni mtu mwenye mapenzi na vitu fulani pamoja na yote(Madaraka, Itifaki, Siasa, Mitazamo ya watu ). Kuna watu naowafahamu ambao wako Marekani na wamewahi kurudi Tanzania kuja kutafuta migebuka na ugali wa muhogo walivyovikumbuka baada ya kuvikosa huko kwa muda mrefu pamoja na Burgers, Tacos, Lamb chops, na pizza, wanazokula huko Marekani. Huwezi kujua upenzi wake kwa samaki aliemfuata hapo gengeni, sioni sababu ya kupiga kelele kuhusiana na kitu kidogo kama hicho.
Raisi Kikwete tutamkumbuka hasa kwa hili la kujishusha na kuwa karibu na wananchi, he is more than a friend kwa wananchi wake. big up kwa kweli, najua pia ilikuwa bonge la surprise kwa jamaa muuza genge amedaka almost laki na hamsini what a day kwenye biashara. big up sana hon Jakaya M Kikwete mungu akuzidishie maisha marefu.
Mh. Kikwete ni mtu wa kawaida saaannnaaaa. Kinacho mponza ni chama chake. Na anaogopa sana akina Mkapa na Ali hassani kwa kuwa hawa walikuwa ni mabosi wake. Lakini kuwa ni binaadamu, ni mtu mwema tu.
Duh! Nimemwona Raisi wangu akigawia watoto hela, akawaambia ni ya sikukuu! Sawa, lakini amenunua Samaki wa 120,000/= sikumsikia akiulizia changamoto wapatazo wavuvi au wachuuzi. Ila nimekujua anafahamu Samaki watamu!
14 comments:
Mheshimiwa Rais kumbuka na tip vilevile. So good to see you on the streets ukijichanganya na wananchi though.
yeah so good to see him on the street akijichanganya na wananchi lakin ana options anaweza kufanya hivi na sometimes pia anakula raha zake na wananchi wa chini hawana hii options.
Huwezi kutoa sifa kwa tabia isiyo na maana kama hii. Kama ni kuchangayika na wananchi hakuna anayemzidi Idd Amin.
Idd Amini alicheza ngumi, alishindana kuogelea, alishiriki riadha, nk. sema wewe mwenyewe aliishia wapi kichaa huyo?
Waganda mpaka kesho wanamkumbuka Idd Amin, fitna ya Nyerere a.k.a iliomtoa, lakini kawasaidia sana waganda huyu. Mungu Amrehemu
nasikia alinunua samaki laki mmoja na elfu ishirini na fungu mmoja la mchicha kwa laki moja
na naamin hatokwenda kuwala,
raisi wetu alipaswa kwanza amuulize huyio muuza Genge kama analipa kodi, alipaswa amwambie huyo muuza genge ampe risiti ili kuonyesha kwamba anachangia kwenye Mapato ya nchi!
angefanya hivyo angekuwa yupo katika mstari wakupunguza umaskini tanzania.
nadhani muuza genge hatuzitumia hizo pesa ataziwekea frame na kuzitundika ndani ya chumba chake ukutani kwii kwiii kwiii
Acheni wivu, sote tunajua Rais wa nchi ana wapishi wake, wanunua misosi, waonja chakula, wasafisha viatu etc. Ile kununua ni lobbying tu, akitaka kula samaki wanaopatikana say japan mtu atapanda ndege na kwenda kuwaleta. Amefanya kwaajili ya hao wa kijijini sasa nyi wambea wamjini mmeshikia kidedea. Acheni amalizie muda wake. Unafikiri yule babu na pale kijijini watasahau! Mision acomplished! Lol
Kwa staili hii dah, maendeleo yatakuwa magumu kupatikana, yani Rais msanii, mawaziri wasanii. Mbona haendi kariakoo kwenye kibanda kama hicho ambapo watumishi wake na Mkurugenzi wanavamia kila siku tena usiku kubomoa vibanda vyao. Leo eti amekuwa mteja.
Sio kweli kuwa Kikwete ni mtu wa kawaida anafanya maigizo tu; angekuwa mtu wa kawaida angejali maisha na maslahi ya watu wa chini kwa kuwathibiti wala rushwa na mafisadi!! Badala ya kuwathibiti wahalifu yeye anawalinda kama alivyowafanyia wahindi wezi wa EPA!!
Hii nimeipenda kwani sioni ubaya kwa Rais kununua samaki gengeni kwani nae ni mtu mwenye mapenzi na vitu fulani pamoja na yote(Madaraka, Itifaki, Siasa, Mitazamo ya watu ).
Kuna watu naowafahamu ambao wako Marekani na wamewahi kurudi Tanzania kuja kutafuta migebuka na ugali wa muhogo walivyovikumbuka baada ya kuvikosa huko kwa muda mrefu pamoja na Burgers, Tacos, Lamb chops, na pizza, wanazokula huko Marekani.
Huwezi kujua upenzi wake kwa samaki aliemfuata hapo gengeni, sioni sababu ya kupiga kelele kuhusiana na kitu kidogo kama hicho.
rais dr. kikwete ni rais bora sana. Naweza kumfananisha sana na prof. Tibaijuka katika kuchapa kazi za watanzania na kuwaletea maendeleo watanzania

Post a Comment