Bw Aloyce Ntukamazina Meneja Masoko na Huduma kwa Wateja akiwasilisha mada juu ya uchangiaji wa hiari katika mpangowa VSRS.
Bw Nevile Meena Katibu Mkuu wa jukwaa la wahariri akikabidhiwa kadi ya uanachama baada ya kujiunga rasmi na Mfuko wa GEPF.
Bi Grace Hokka akifurahia kujiunga rasmi katika mpango wahiari wa GEPF.


No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake