Mama Tunda {Asha} hapa wakiwa pamoja kabla awajatengana. Mama Tunda Mzazi mwenzie Afande Sele amefariki dunia. Afande Sele amewajulisha watu wake wa karibu na mashabiki kuhusu msiba uliomkuta kwa kufiwa na mama wa mwanae Tunda. Chanzo cha kifo hadi sasa hakijafahamika.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake