ANGALIA LIVE NEWS

Friday, August 15, 2014

AJALI MBAYA HUKO ARUSHA

Jackson Laizer apoteza maisha katika ajari iliyotokea huko Arusha maeneo ya Metropoller na gari lake kaangukia mtoni. Picha ndogo kushoto ni Jackson Laizer enzi za uhai wake mungu amlaze mahali pema peponi Amin.

No comments: