Katibu akiwa kikangoni akichoma mfugo kwenye BBQ ya kwanza ya uongozi mpya iliyofanyika siku ya Jumamosi Aug 16, 2014 Silver Spring, Maryland.
Rais Iddi Sandaly akiongea na wanaDMV waliofika kwenye nyama choma ya kwanza ya uongozi mppya DMV.
Makamu wa Rais Harriet Shangarai akiongea na wanaDMV kwenye nyama choma ya kwanza ya uongozi mpya iliyofanyika Jumamsoi Aug 16, 2014 Silver Spring, Maryland nchini Marekani.
WanaDMV waliojumuika pamoja.
WanaDMV wakiwasikiliza viongozi wao wapya.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Picha zingine baadae
Huko USA siji tena wamefulia
ReplyDeleteObvious hii jumuiya imegawanyika kwa kuwa sioni hata mtu mmoja wa ile timu nyingine akihudhuria hapa.Mimi ningeshauri kuurudia huu uchaguzi ili kupata viongozi wapya ambao wataiunganisha jumuiya yetu ya wana-DMV na siyo huyu ndugu ambaye ni mdini tu.
ReplyDeletewaliojumuka walikuwa na makaratasi yao bahati yao na hamna hata haya kwani huyo iddy kashinda kwa lipi?
ReplyDeletebana bana hii comment mpwaa ndo kazi yao tunakujua
waaoh. nice. .hehehe Kuna dada apo anawigi kama uyoga was kibongo wavikofia. .kwikwikwi. .
ReplyDeletebbq ya wana NY katika mkutano wao wa jana picha ziko wapi NY ibra?
ReplyDeleteThis is one of the myopic moves that typical nonvisionary leaders make. Kesho na kesho kutwa utawakuta wanaitisha harambee ya kuchangia lobbying activities za Dual Citizenship. What's more important: The nonurgent BBQ or the once-in-a-lifetime opportunity to secure Dual Citizenship? Shame on you!!!
ReplyDeletemme pwaya na vinyama vyenu watu mbona hakuna.wako wapi wavimba macho wenginewe na cha domo wa vijiweni,mmeogopa siyo na bado.
ReplyDeletebana comment bana comment
SASA NI TEAM DMV ----
ReplyDelete