We can certain confirm that Ismail Mwilima has endorsed Liberatus Mangombe “Libe” for DMV Community president 2014
Ismael Mwilima
Credentials
Bachelor of Business Administration
Masters of Business (MBA)
Ismail says:
“Mimi, Ismael Mwilima ninaye gombania nafasi ya ukatibu ndani ya jumuiya ya DMV ninamuendorse Liberatus Mwang'ombe kwani yeye ni mtu asiye watumia watu kwa manufaa yake mwenyewe. Idd Sandaly aliniomba mimi niandike barua ili uchaguzi usifanyike tarehe 20 mwezi wa July ndani ya mwezi mtukufu ili wanajumuiya waendelee na shughuli za kiroho na kumcha mwenyezi mungu. Mimi niliandika barua hiyo kuyiomba tume ibadilishe tarehe na nikaipeleka kwa tume ya uchaguzi na bodi ya jumuiya ila tarehe mpya ilipo tolewa Idd Sandaly hakuwa na mimi kunisaidia tarehe ya uchaguzi ibadilishwe mpaka nirudi toka safirini ambako nipo kikazi. Wana jumuiya mnatakiwa kujua kuwa ni mimi Ismael Mwilima na dada Jasmine Lubama ndio watu pekee tulio andika barua mnamo tarehe 18 mwezi June kuwa uchachaguzi usifanyike mpaka mwezi mtukufu uishe”

No comments:
Post a Comment