Saturday, August 16, 2014

HONGERA SANA DR. MODESTA OPIYO MAKOPOLO

Dr. Modesta Opiyo Makopolo.
Sisi familia ya Mr. O.O Igogo kwa furaha sana tunapenda kukupongeza kwa kuteuliwa kuwa mmoja wa majudge wa Mahakama Kuu ya Tanzania. Tunaamini utaendelea na moyo uliokuwa nao kuwatumikia Watanzania. Hongera sana mpendwa wetu.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake