IMEVUJA kwamba Staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ndiye aliyemshauri Nasibu Abdul ‘Diamond’ asioe kwa sasa ili asishuke kimuziki.
Ushauri huo umekuwa mwiba kwa mpenzi wa Diamond, Wema Sepetu ambaye amekuwa na ndoto ya kuolewa na staa huyo anayekimbiza kitaani na wimbo wake wa Mdogomdogo.
Akifafanua zaidi kuhusiana na ushauri huo, Nay alisema: “Kuna mifano mingi sana nimeiona kutoka kwa wasanii ambao wameoa, wengi wao wameshasanda sasa mdogo wangu (Diamond) na yeye alipoleta hoja ya kutaka kuoa nikaona sasa anatafuta shimo la kwenda kujifukia, nikamshauri aache.
”Credit:TZ
Hakuna haja ya kutafuta mchawi,maamuzi ya kuooa au kutokuooa anayo Diamond mwenyewe na si mtoto mdogo.
ReplyDeletena akiwafuta sana wagalatia watamlostisha tu mwisho wa siku kwani wao hawathamini kuoa au kuolewa kazi kuzaa nje nje tu ya ndoa kama wa..ny..ma
ReplyDeletewema mwanamke mchepuko ndo maana diamond hataki kumuowa na hiyo kukatazwa asiowe ni danganya toto tu,hajamuona wa maana wema ndo maana hataki kumuowa anamdanganya tuu na huyu demu mjinga mjinga tu basi kangangana tuuu juu ya usomi wake lakini hana akili kichwani
ReplyDelete