Mrembo Jokate Ambaye Tumezoea kumuona Kwenye Mitindo na Utangazaji Naye Ameamua Kufuata Nyayo za Mtangazaji Mwenzake Venessa Mdee Kwa Kujiingiza kwenye Fani ya Kuimba Bongo Flava, Jokate Kwa mara ya Kwanza alipanda jukwaani na Wacheza Show wake kwenye Show ya Ufunguzi wa Fiesta Huko Mwanza na Kushangiliwa sana Mashabiki kwani Alifanya Kama Surprise.
Udaku Specially Tuliongea nae kuhusu hilo la kujiingiza kwenye music Akasema amejipanga sawa sawa Mashabiki wakae tayari kwa Mambo makubwa kwani yupo kamili na amesema lazima amzidi Venessa Mdee Ambae ni mwenzake katika utangazaji.
Je Ataweza?.
CREDIT:DAILYNEWS
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake