Wednesday, August 13, 2014

Kimenuka Meninah Atajwa Kuwa Ni Mchepuko wa Diamond Platnumz, Wema Apata Adui Mpya

Msanii wa Bongo Flava Meninah la Divah ametajwa kuwa katika mahusiano ya kisirisiri na Diamond Platnumz taarifa hizo zimevuja kupitia kwa marafiki wa karibu na Meninah wamedai kuwa wawili hao walikutanishwa na moja kati ya ndugu wa Diamond na hivi karibuni katika kipindi cha Tv anacho host Meninah eti. Diamond aliwahi kumkataza Meninah asishiriki kwa sababu atakutana na wanaume wengine lakini dada wa diamond Queen Darlin ambaye pia yupo katika kipindi hiko cha Tv akaahidi kumlinda wifi yake mwanzo mwisho ndio mzee akatoa ruhusa. Lakini mwenyewe akanusha na kusema hata hajawai kumshika mkono huyo Diamond.

3 comments:

  1. Yaani we Dada kama unajipenda muache tu huyo diamond na wema wake so size yako hata kidogo, yaani nishaanza kukuchukiaaa..

    ReplyDelete
  2. Kwa nini uanze kumchukiaaaa. Acha kijana ajilie ujana wake vizuri kwani wakati wake ndio huu akiisha jizeekea atatulia kwani sasa hivi anakimbilia wapi????

    ReplyDelete
  3. unamchukia kwa nini,huyo wema kwani hajui kama diamond anatakiwa sana kwa sababu ya pesa zake na huyo wema si ndo anajipendekeza kwa diamond na diamond hata hana mpango nayeye kishamfanya farashi wake long time.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake