MISSY TEMEKE NA TEAM YANGU YOTE NAPENDA KUUNGANA NA WATANZANIA WENZANGU KUMPONGEZA RAISI WETU MPYA WA DMV MHESHIMIWA IDDI SANDALY NA TEAM YAKE YOTE,WAKATI WA KAMPENI UMESHAPITA KWA USALAMA SASA NI WAKATI WA UONGOZI. KWA HIYO WATANZANIA WOTE WA DMV TUUNGANIKE NA KUMSAPOTI KIONGOZI WETU MPYA NA TEAM YAKE YOTE KWA ROHO MOJA .MUNGU IBARIKI DMV MUNGU IBARIKI TANZANIA .........MASAI COAT AND JEANS BY KWETU FASHION,SHUKRAN.