NYOTA wa Filamu za kibongo Wema Sepetu amesema kuwa katika maisha yake anajitahidi hakosani na mama yake mzazi, Mirium Sepetu ili kukwepa kupata laana ya kile ambacho anaweza kumtamkia na kuharibu mwelekeo mzima wa malengo yake aliyojipangia kuyatimiza akiwa ndani ya ndoa yake..
.Akizungumza na Mpekuzi, Wema alisema kuwa ndio maana kipindi ambacho mama yake hakutaka kuolewa na mchumba wake Nasibu Abdul 'Diamond' hakupenda kutumia nguvu ama uwezo wake wa kifedha kumpuuza mzazi wake kwani anaamini angemuumiza na kumfanya amtamkie maneno mabaya..
Credit:Thechoice

4 comments:
sasa ameshaolewa au ndo kuuza sura na magazeti,huyu baby anapenda sana kujulikaa kwa masifa yake na ni mtu wa drama kila leo na wewe dj luke unamfagilia sana sijui umenunuliwa?
Mchumba yupi wakati Diamond ameutangazia uma kuwa hategemei kuoa kwa kuogopa kuanguka kimuziki! Mama jitafakari zaidi
tumesha kushtukiyeni mnalipwa na wema kuandika news zake kila kukicha
nahuyo diamond hana mpango wowote kazi yake kila siku kuwafuata wagalatia.wao kuowa kwao hawaoni vizuri wanajali sana kuzaa nje ya ndoa nakuwa na mali sasa wewe diamond endelea tu kumfuate yule mvuta bangi,yeye mwenyewe cha arusha kasha losti kimuziki
Post a Comment