ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, August 6, 2014

NDOA YA BENZIMA NA REAL MADRID HADI 2019 KWAIYO MTASUBIRI SANA WALE MLIOKUWA MNANUSA NUSA

Hii ndiyo habari kamili mwenyewe kasema nipeni hadi 2019 Benzima akionyesha jezi yake inayoonyesha mwisho wa mkataba wake na Read Madrid. Hadi sasa Benzima amesha cheka na nyavu za maadui wa Real Madrid ma 111 katika michezo 235 akiwa na jezi na Real Madrid. Benzima alijuunga na Real mwaka 2009 akitokea chama la kwao Ufaransa Lyon.
Benzima anaevaa jezi na 9 akiwa na Real Madrid na akiwa kwenye timu yake ya taifa Ufaransa utupia jezi na #10.

No comments: