ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, August 13, 2014

POLISI NAO NI BINADAMU NA SIYO MALAIKA TUPIA MACHO HII NA UTAGUNDUA KULIKONI NYPD HAWA.

 Polisi hawa wa New York City walishindwa kujizuwia macho yao kuyapeleka moja kwa moja sehemu waliyoona ilikuwa kivutio kwao wakati Kim Kardashian akiwapitia mbele yao. 
Jitiririshe chini na utagundua kuwa ni wapi macho ya Polisi hawa yalitua wapi kwenye mwili wa Kim Kardashian. Nafikiri kila mmoja alikuwa anajiuliza hivi hii ni Original au Hong
kong.


No comments: