Friday, August 15, 2014

SEIF AMEIR USO KWA USO NA MWIGIZAJI WA COSBY SHOW ACTRESS PHYLICIA RASHAAD

Seif Ameir mkaazi wa DMV akipata ukodak moment na mwigizaji aliyepata umaarufu kwenye kipindi cha Cosby Show Actress Phylicia Rashaad walipokutana mitaa ya kati jijini Washington, DC jana Alhamisi Aug 14, 2014

1 comment:

  1. safi sana kwa picha ya ukoda na bibiye but hala hala mikono watu wa huko tunasikiaga hawapendi mambo ya kujifanyia tuyatakayo ya kibongo bongo.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake