Ndoa ya mwanuziki Jay dee na mtangazaji mashuhuri wa radio Gardner G. Habash inasemekana imevunjika huku Gardner akihama Kimara alikokua akiishi na mkewe na kuhamia kwa moja wa ndugu zake wa karibu sana.
chanzo cha kuvunjika ndoa hiyo bado hakijajulikana moja moja kwa moja ila wawili hao wamekuwa katika migogoro kwa muda.. na si mara ya kwanza kutengana ila this time hali si shwari. yazidi kusemekana kaka Gardner kazidi michepuko amekua haibi tena anafanya bayana mpaka mwenye mali anajua anavyoibiwa.
kudhihirisha hayo katika ukurasa wake wa IG dada jide ameandika "Walking Away From Troubles" ambapo umbepuzi yakinifu waonesha
mambo si sawa hata kidogo.
Gardner kabla ya kumuoa Jide alikua tayari na mke halali wa ndoa na mtoto mmoja.
Credit:Thechoice
yaani these days mwanaume akileta za kuleta unam-direct to ze left tu, haya mambo ya kukaa kwenye troubled marriage kisa macho ya watu yalishapitwa na wakati. bravo JD, huo ndo mfano mwa kuigwa! mtu akileta u-yahaya na u-marioo tupa kule, akijifanya yeye anajua sana kuchepuka delete kabisaaa...
ReplyDeleteHayo ni mambo ya kifamilia amna shida tuwaombeee yataisha tu.
ReplyDeleteSi dhani kama ni busara kushabikia upande mmoja kama mtoa maoni wa kwanza hapo juu. Matatizo halisi ya ndoa wanayoyafahamu ni walio ndani ya ndoa husika. Kama haumo ndani ya ndoa unayoishabikia, ni busara kunyamaza, it is none of your business. Wakielewana, ama kama taarifa hizi si kweli, utaaibika.
ReplyDeleteWe anonymous # 1 acha kujishebedua. Umejuaje kama mwanaume ndiye mwenye makosa?
ReplyDelete