Monday, August 18, 2014

TANESCO KILIMANJARO WAFANYA MAREKEBISHO MITAMBO ILIYOUNGUA MOTO

Mafundi wa TANESCO mkoa wa Kilimanjaro wakitizama namna ya kuokoa mafuta yaliyokuwa yakimwagika toka kwenye mtambo wa kupozea umeme.
Mafundi wa Tanesco wakiandaa pipa kwa ajili ya kuwekea mafuta yaliyokuwa yakimwagika toka kwenye Transforma.
Mafundi wa Tanesco mkoa wa Kilimanjaro wakijaribu kuelekeza mafuta yaliyokuwa yakimwagika kuingia katika pipa.
Mafuta yakiwekwa katika Pipa.
Mafundi wa Tanesco mkoa wa Kilimanjaro wakijaribu kurudishia mafuta katika mitambo ya kupozea
umeme.

Mitambo ya kituo kidogo cha kupozea Umeme cha Bomambuzi mkoani Kilimanjaro kilipata hitilafu
kwenye waya mkubwa wa kupitishia umeme kutoka kwenye transfoma,hitilafu iliyosababisha moto
uliounguza waya huo na baadaye baadhi ya nyanya kuangukia kwenye bodi ya transfoma kisha mfuta yakaanza kuvuja. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake