Monday, August 18, 2014

WANADMV NA WASHIRIKA WAO CLEVELAND, OHIO

Mayor wa DC, "Piga Box" Saleh Mohammed akipata picha ya pamoja na rafiki wa siku nyingi Ohio Bwn. Bruce ambaye kiswahili chake utafikili mmanyema wa wa kariakoo. Bruce na Saleh walikutana kwenye mazishi ya marehemu Mohammed Ali aliyezikwa siku ya Jumapili Cleveland, Ohio.

WanaDMV na washirika wao wakiwa katika picha ya pamoja

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake