Dj Slay akiendesha kipindi cha mahojiano na wasanii wanaotarajia kupanda jukwaani leo kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 Bukoba wakiwa wanamsikiliza kwa makini wakati wa Maswali na majibu kutoka kwa wananchi ndani ya Studio za Kasibante Fm 88.5.
Msanii wa Bongo Fleva, Madee akijibu maswali ya wasikilizaji kupitia Kasibante FM.
Barnaba akisikiliza jambo.
Jux, Ney wa Mitego na Mr. Blue wakiwa katika pozi.
Mr. Blue akijibu maswali ya wasikilizaji kupitia Kasibante FM.
Mtangazaji wa Radio Kasibante FM 88.5, Dj Slay akiendesha kipindi hicho.
Wasanii wa Bongo Fleva , Linah akiwa na Recho.
(PICHA NA FAUSTINE RUTA/BUKOBA)
No comments:
Post a Comment