Saturday, August 23, 2014

WATANZANIA WA NEW JERSEY, USA NA MAENEO YA KARIBU


Mnakaribishwa wote kwenye Community Barbeque ya Watanzania siku ya Jumamosi, Agosti 23, 2014, kuanzia saa tisa alasiri katika viwanja vya Lincoln Park, West Side Avenue, Jersey City, New Jersey.



Lengo letu ni kujumuika pamoja, kufahamiana zaidi na kula nyama. Kufika kwako ndio mafanikio ya jumuiko letu sote. Ahsanteni.






4 comments:

  1. Hii BBQ ni ya Watanzania wote, not only wakazi wa NJ. Please feel free to join us. ALL ARE WELCOME!!

    ReplyDelete
  2. That's wonderful kwakweli, am so proud of tanzanians

    ReplyDelete
  3. You guys weren't there or you were somewhere else!

    ReplyDelete
  4. New Jersey makes us proud!!! It time tuachane na uroho wa wachache New York !!!! Ni shideeeeer !!! Viongozi wasaniii wamepitwa na Wakati !!!! Go go New Jersey Tanzanians !!! We are classy !!!!

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake