Friday, August 15, 2014

WE ARE RISING THIS FUND TO PAY OUR LAWYER FOR TANZANIANS IN DMV JUSTICE DUE TO THE ELECTION FRAUD


Aliyekua mgombea wa Urais Ndg. Liberatus Mwang;ombe akipiga kura

On August 14, 2014 Tanzanians in DMV had a community election, which turned out to be unfair and unjust. The two presidential candidates, Liberatus Mwangombe and Idd Sandaly, happened to have total votes exceeding the voters.

FACTS ABOUT THE ELECTION ACCORDING TO ELECTION COMMITTEE

Registered voters 586
Absentee ballots 14
Registered voters who did not vote at all 150
Voters who came to the polling station were 430
Absentee ballots Liberatus 9 Idd Sandaly 5
Results from the polling station Mr. Sandaly had 231 Mr. Liberatus had 214.

The total number of voters who came out at the polling station was 430. When Idd and Liberatus’ votes were added they exceeded the number of voters who came out to vote (214+231= 445). There was discrepancy of 15 votes! This was the main reason Mr. Safari said the election is “FRAUD” and “VOID”.

Lets do some math

http://www.gofundme.com/d0njcg

40 comments:

  1. Kazi kwelikweli, naona watu mna muda hasa , hivi naombeni niwaulize swali, hawa maraisi sijui na makamu etc wanalipwa??? Maana naona ni kama ndoto, yaani mie nilivyo busy na mabox yangu sijui watu wanapata wapi muda wa huu uchafu jamani khaaaa, watanzania wa DMV mnatia kichefuchefu na uchu wa madaraka

    ReplyDelete
  2. Dealing na wasomi raha sana! �� kuddos Libe I'm super proud of you!

    ReplyDelete
  3. Lukas umeanza tena kuachia massage za matusi,na kukashifiana
    Kuwa mstarabu kaka,wacha DEMOCRACY it take place.haki haipokonyeki inachelewa tu

    ReplyDelete
  4. Luka unaleta majungu na watu kugombana kwa kuachia massage za hovyo kama hiyo,wewe mbaya na mnafiki.humwezi libe anamsimamo.

    ReplyDelete
  5. huo ni uchu was madaraka. Rudini Bongo mgombee ubunge mwakani. Stop this crap please.

    ReplyDelete
  6. Judge Judy atakuuliza how much did you loose (akiwa na maana ya mshahara) sasa sijui utajibu $0 au hela mlizotumia kuwanunua watu mpaka watoka nje ya Tanzania kuja kuwapigia kura! Tulipowashtukia ikabidi mrudishe pesa zao!

    ReplyDelete
  7. Kaka Libaratus..habari kaka, basi haya yamalize haya. .yasikuchukulie muda na kuendelea kukuumiza, hayana tija haya..vumilia na uendelee kuitumikia jumuiya yako kwa njia nyingine tuu na kwa amani.Jaribu kulimaliza jambo hili kwa njia ya amani na uendelee na maisha yako ya kila siku..Nguvu hii ulionayo kama vipi ungeigeuzia kule nyumbani Tanzania. .rudi nyumbani Tanzania kama kweli una nia halisi ya kutetea watanzania..elekezeni nguvu panapo stahili.Jitahidi kupiga moyo konde kaka.

    ReplyDelete
  8. Please get a life. Kugombania uongozi for what? Are you people getting paid?

    ReplyDelete
  9. Hivi hamna kazi za kufanya mpk kuwaste your enegy kwa vitu vya kijinga, au hulikopa sehemu ukitegemea ukipita urudishe hela za watu sasa imekula kwako so una haha kuchafua watu, listen Libe asiekubali kushindwa si mshindaniiiiiii ni jinsi gani ulivyo na uchu wa madaraka,pole

    ReplyDelete
  10. Tanzania needs you Libe, you are young and educated, go back home and bring change where it is really needed. United we stand, divided we fall

    ReplyDelete
  11. Listen Libe, since umebehave kiuchu namna hii, next election(kama utagombea) tuna recruit mtu candidate mwingine against wewe na unapigwa chini vilele! You're very selfish, unajipenda na kuliko community yetu!

    ReplyDelete
  12. Hii ni nchi ya sheria, sasa hizo nyama zetu sijui BBQ mtaenda kuzilia kwenye apartment ya Rais wenu iddi sandaly?
    Huko park uhamiaji na local police watakuwa wanawasubiri. Jamani Wazungu wanasema IF YOU THINK EDUCATION IS EXPENSIVE, TRY IGNORANCE .

    ReplyDelete
  13. ELECTION DMV 2014
    Libe unajiharibia sana hata ukitaka kugombea tena. Nilikupigia kura ndugu yangu, lakini naona kama niliipoteza, and candidly, I'm disappoint with your rogue behavior! Kwanini uko desperate hivyo? Kama vile labda ulikuwa unaandaa platform/CV ya kugombea CHADEMA nyumbani? Politician aliepitia jandon lazima anajua kuwa kuna kushindwa pia! Hii inaonyesha wazi kuwa hukuwa na contingent plan, meaning that you were only planned to win and not the contrary.
    Kabla hujaandaa T-Shirt za kavaa, mara tu ukishada urais, ulitakiwa ujiulize swali---[What If???]. Pili, badala ya kuandaa victory speech peke yake, unaandaa concession speech pia, just in case unexpected happened. I don't blame you because you either had bad advisors around you or you defied their advice.
    Tatu, kamati ya uchaguzi WALIJITOLEA 4 FREE! They worked tireless around the clock to make sure everything went smooth. Remember layers of security we had to go thru b4 voting---impressive, wasn't it??? These dedicated individuals were well prepared and they deserve no less than credit! We can't trash that simply because we didn't get what we wanted!
    Nne, Was there inconsistencies? Yes! Was it unprecedented? No! Actually, voting irregularities happen more often even in the countries that regarded to have high level of democracy in the world. Take USA, for-example Bush Vs Gore in 2000, ONLY about 11, 000 votes were to decided the election, in country with over 300M people! Without going into details(can be googled), Bush ended up being a president although everybody believe that Gore won that election.
    BUT you know what happened and it was unprecedented? Gore put the country first!!! So, Mr. Libe, be Gore of 2000 and put Tanzanian community Kwanza, please???????

    ReplyDelete
  14. DJ Luke, acha comments zidondoke bila filtration. Alafu, hawa team Libe wanakata mti huku wameukalia. Mnamtukana Luke, at the same time, mnahitaji blog yake kupost mambo yenu. You're very lucky that Luke is a VERY nice guy!! Ningekuwa mimi, msinge post kitu!!!!

    ReplyDelete
  15. Good job libe usiwasijilize hawa less than one day umefikisha 1300-you are making history libe ziba masikio fanya uliyotumwa na wanainchi wako.mahakama itaamua nani anauchu wa madaraka.keep fighting.we love you libe

    ReplyDelete
  16. Kijana yuko very smart,keep doing libe sheria mahakama ndio njia pekee ya kupata amani na haki ya kweli duniani

    This is America people haburuzwi mtu.we will,we can.
    Stay tune more to come

    ReplyDelete
  17. Hao kina libe sio watu wa kuburuzwa au kupiga domo....ni watu wa ACTION na hawayumbishwi na comments zenu haziwanyimi usingizi.wenzeni wamefikisha 1300 only less 12 hours

    Wonderful we are very impresse
    Hii kweli ni change dmv hawajawahi kuona .I mean it

    ReplyDelete
    Replies
    1. Jiandaeni kurudisha hela, make your get NO where, REAL!! Labda wasilimishe wawe CHADEMA--Wise move!

      Delete
  18. Go team libe.upuuzi huu tuliouwona need to be stopped

    Tuko pamoja kaka kwa hali na mali kuhakikisha haki inapatikana.

    HONGERENI KWA MAPESA NA MICHANGO WATU WAMECHANGA SO FAST.NDIO UZURI WA KUWA NA WASOMI NA VIONGOZI WENYE MSIMAMO KWA WATU WAKE HAYUMBISHWI LIBE WALA HAFATI MKUMBO.GOOD JOB

    ReplyDelete
  19. Hakuna comments za matusi kabisa wacheni majungu na kaka Luke, it's freedom of speech, fanyeni kazi mtengeneze madola wacheni malumbano ya kijinga, hivi mnalipwa pamoja na kupewa benefits? ? Khaaa

    ReplyDelete
  20. Cha kusikitisha ni kwamba hata wachungaji wanajihusisha na siasa. What a shame???? Shedeko, Mbata, Igogo,maturlu, malekela nyie wote hamna busara hata. Kumbuka mnatakiwa kuchunga kondoo na si kuwatapanya. Kuanzia leo nimeamini kanisa la kweli ni lile la kwanza ndugu zanguniiiii!!! Kama Katoliki na yale yaliyoundwa kwanye misingi Imara. Poleni mnaosali kwenye wachungaji hawa!!!!

    ReplyDelete
  21. Endeleeni tuu kumtia LIbe Ujinga!!

    ReplyDelete
  22. paper-less mbona mna-panic? mara judge judy mara judge mathis, hii kitu ipelekwe kwa John Roberts kabisaaa tuone huo ushabiki maandazi mtaupeleka wapi!!!!!

    it is not about money, it is about kukomesha maovu. Libe nitaku-bip nikupe contact za probono mmoja former Harvard graduate

    ReplyDelete
  23. Hey Brother Libe unaonekana una uchu mkubwa wa haya madaraka. Unafikia muda unajiaibisha. Kama mdau mmoja japo juu alovyosema "asiyekubali kushindwa sio mshindani." Just let it go Brother and go home. Nilifikiria wewe ni mstaarabu lakini ustaarabu wako is running out of gas inakuwa aibu vile. Sio kwamba nina support upande mwingine la hasha. Kwanza mimi sio mwana DMV and never will be. This is just a shame. Mnaleta aibu za kibongo ambazo hazina maana yoyote. Grow up people. God Bless America!

    ReplyDelete
  24. mie sielewi watu wanashangilia ushindi wakati wanaona kabisa DMV imeshagawanyika!

    ReplyDelete
  25. GO LIBE GOOOOOOOO LIBEEEEE. Mwenye uchu ni LIBE au SANDALS.
    DJ usipendleeeeee weka

    ReplyDelete
  26. Kwetu Upareni hatusiti kumuuza ng'ombe ili tushinde kesi ya kuku. Maudhui yake ni kwamba "Haki Itendeke", siyo economic calculus!

    Can you dig it, Sandaly's blind followers?

    ReplyDelete
  27. Solution ni kuanza mchakato wa kuandika katiba itakayoanzisha jumuiya mpya, DICOTA DMV Chapter, ambayo itasimamia kwa dhati maslahi ya wanaDMV wote bila kujali itikadi na imani zao. Kwa wapenda haki wenzangu, hakuna sababu ya kupoteza muda na ATC Metro ambayo tayari iko kwenye deathbed yake kutokana na kansa yake iliyoko kwenye advanced stage.

    Kamati ya Uchaguzi wameihujumu ATC Metro kwa kushindwa kwao kusimamia kwa umakini mkubwa shughuli za uchaguzi. Najua hawakuwa na malipo yoyote kwa shughuli hiyo, lakini pia hakuna aliyewashurutisha kukubali jukumu hilo.

    DJ Luke huna sababu ya kubagua maoni ya watu kaka ili mradi hayamtukani mtu. Umekuwa na tendency ya kutokuweka posts zinazokinzana na maoni ya upande wa Sandaly ambao tunajua wazi wewe uko upande wake!

    ReplyDelete
  28. GO LIBE GO ? GO LIBE GO ....

    ReplyDelete
  29. ni kweli blog yako hii dj luke na nikweli unahaki ya kuweka comment unazotaka lakini this is not fair at all nimesoma comment zote na nimeona umempendelea sana iddy, watu wana mbeza sana libe kumbuka hata yesu alipigwa na madongo mwisho wa siyu yeye yesu si ndo anacho cheo zaidi ya wote.

    kuwa na busara dj luke hata kama wewe ni shabiki wa iddy.

    mwaka huu mmempata msomi aiyetiririka na asiye kuogopeni na comment zenu na mambo yenu.

    go libe nenda kashitaki washike adabu zao wasio na makaratasi tutaona hizo nyama zao chomakama watazile kule park, kitawaka mwaka huu.

    chezea libe msomi.
    na my man libe sometime ninavyosoma hizi comment zao naona bora uwachiye tu hawa watu mbururaaza na jumuiya yao wakikupa watakuletea balaaa na nuksi bure.

    go ahead and look for your phd man achana na hawa magamba seriously labda kama ndo unataka kuwakomesha na fraud zao na kupendeleana kwao.

    all the best man

    look ikikukera hii comment wee itupe tu haina noma okay my man.

    ReplyDelete
  30. watu mnakazi.kijijini kwako wanalala na njaa mnabaki kuchangia uchaguzi.hizo 1300 si zingewezalipia watoto ada ya mwaka mzima.mmepata bahati ya kuja huku fanyeni kazi.misiba hamchangi mnachanga uchaguzi urudiwe.si bora hizo hela apelekewe yule kaka aliyekatika miguu na mkono.

    ReplyDelete
  31. 231-15=216 (Idd), 214 (Libe) mshindi Idd.

    ReplyDelete
  32. Sandaly ana tamaa sana ya madaraka. Hata kamati haijathibitisha mshindi, tayari kishatoa speech ya shukrani. Mnataka kuwatuliza wananchi kwa vi BBQ vyenu? Tutakutana mahakamani!

    ReplyDelete

  33. Idd
    231-15= 216
    216+5 (absentee ballot)= 221 Idd

    Libe
    214+9 (bsentee ballot) = 223 Libe

    Mshindi Libe kwa kura 2

    ReplyDelete
  34. 231-9 = 222. Kwani kura za Wizi au zilizozidi ni 9 tu. Kazi Yao ni kudanganya JAMII Hivyo wanasema kura zilizozidi ni 15.. Hata Kama ukimpa zote LIBE Bado iddi ni mshindi... Hawa walikuwa vilaza wa hesabu kweli...

    ReplyDelete
  35. unaweza kuwa msomi lakin hujaelimika.Wasomi wenyewe ndio wanaochemka katika maisha japo sio wote.siasa mchezo mchafu utakuchafueni fanyeni kazi mko ugenini hata kama mnauraia msijiziuke.mdau kutoka mchamba wima!

    ReplyDelete
  36. udau kutoka mchamba wima umesama kweli wasomi wengi ndo wnaaonchemkakimaisha jao sio wote na kusoma unaweza ukasoma lakini hujaelimika.
    nimeipenda sana comment yako hii.na ushauri wako safi sana sheikh.

    ReplyDelete
  37. KAMA VIPI TUINGIE MSITUNI!! TUSHACHOKA MAISHA HAYA!!

    ReplyDelete
  38. Ningemshauri Libe kuanzisha jumuiya nyingine mpya ya wana-DMV.Hii itatoa fursa mpya ya sisi sote(DMV) kutekeleza VISION mpya na siyo hiyo ya akina Sandali na maustaudhi wake.

    ReplyDelete
  39. unapendelea dj luke na ny ibra hamuziweki comment zetu mafisadi wakubwa nyinyi.mnazibani zikiwa za kumkashifu libe ndo mnaziweka

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake