Wema Sepetu a.k.a Beautiful Onyinye amekula kiapo cha kumchukia dada wa hiyari wa mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnum’, Halima Kimwana ambaye wamekuwa na bifu kwa kipindi kirefu huku sababu zikiwa hazijulikani.
Wema Sepetu a.k.a Beautiful Onyinye.Akipiga stori na paparazi wetu hivi karibuni, Wema alisema ugomvi wake na Halima Kimwana hautaisha na siku zote atamuonyesha chuki za wazi sababu hana upendo naye hata kidogo.
Halima kimwana.“Kusema kweli yule dada namchukia mpaka basi, simpendi na sitompenda kamwe, haitatokea hata siku moja kwenye maisha yangu nikapatana naye, yaani suala la kupatana mimi na yeye halipo kabisa, hata yeye mwenyewe anajua simpendi maana damu zetu zimekataana, siwezi hata kuonyesha upendo wa maigizo kwake,” alisema Wema.
na ndo maana diamond hataki kukuowa na wala hatokuowa kwa sababu ya kumchukia dada yake wa hiyari.so kama unataka kuolewa itabidi umpende dada yake wa hiyari kama humpendi uzi ndo ule ule na isije ikaja mwisho wa siku ukapigwa kibuti kwa kumchukia dada wa hiyari.
ReplyDeleteshauri yako bibiyee kaa ukijifunza si kubwabwaja ovyoo