ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, September 3, 2014

BALOZI LIBERATA MULAMULA AKUTANA NA WATOTO WA JENGA

Balozi wa Tanzania Marekani, Mhe. Liberata Mulamula, akiwatambua watoto wa Kitanzania kutoka North Carolina kwa Good Citizen award na Ambassadors of JENGA, kwa mradi wa kuongoza katika kusaidia watoto wenzao walioko Tanzania.
Utambuzi huu pia umetokana na kuonyesha mapenzi kwa nchi ya Tanzania na kushiriki katika kupigana na changamoto zinazojitokeza.
Watoto wakionyesha mradi walioanzisha kwa ajili ya kusaidia watoto Tanzania.
Watoto walioanzisha mradi huu ni Wa'el Basalama na Int'sarah Basalama ambao aliovaa miwani katika picha na walioshinda ni John Mmanywa aliyepo kulia ya balozi na wengine wawili hawamo nao ni Jonathan Mushi na Jarome Mushi.

No comments: